Saturday, April 26, 2008

Mambo Ya Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ)..


Picha juu ni moja kati ya Vikosi vya makomando wa JWTZ wakitoa Heshima Mbele ya Mgeni Rasmi na Amri jeshi mkuu Rais Jakaya Kikwete uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kwenye Sherehe za Miaka 44 Ya Muungano

Picha juu ni moja kati ya vikosi JWTZ wanawake kikipita mebele ya amri jeshi na Mgeni Rasmi
Rais Jakaya Kikwete leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za Miaka 44 ya muungano.

No comments: