Tuesday, April 29, 2008

Yu wapi Balali !!


Naona kimya kimya watanzania waanza kumsahau mzee wa Epa ya Bot au ndio miezi sita ya tume ya Rais Ndio twaingojea nini !! sijui !!

No comments: