Friday, April 25, 2008

maximo na eatv spoti


kocha wa taifa staaz marcio maximo (kati) akiwa na timu ya kurekodi vipindi vya michezo vya eatv kinachoongozwa na mkongwe wa basketball nchini patrick nyembela (pili kulia) walipogongana jioni hii uwanja wa karume, dar

No comments: