Thursday, April 24, 2008

Nipo Single.......


Mshiriki wa shindano la Big Brother africa II 2007 Tatiana Durao kutoka Angola ambaye yupo jijini Dar es salaam kwa Fashion show maalum zitakazofanyika jijini Dar na Arusha,Pichani akiwa katika Mahojiano yake maalum leo kwenye kipindi cha jahazi kinachorushwa na Clouds Fm 88.4 na kuongozwa na mtangazaji Reuben ambaye alimuliza swali mrembo huyu kama je ameolewa na kama bado ana mpango gani,ndipo Tatiana alipoweka mambo wazi kwamba hajaolewaa na kwamba ni Single..

No comments: