Tuesday, April 29, 2008

Mzee Ruksa..


Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi(Mzee Ruksa),akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Kandoro huku mpambe wake akimpokea gazeti wakati wa sherehe za miaka 44 ya Muungano zilizofanyika jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments: