Monday, April 28, 2008

KERO...





Mamboz Mkuu,
Hii ni barabara ya kwenda Tabata Msimbazi,Wakazi wa mtaa huu wamekuwa wakilalamika kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa kuhusu hii barabara bila mafanikio yoyote,ambayo kwa kipindi kama hiki cha mvua za marakwa mara haipitiki kirahisi si kwa miguu wala kwa Gari.Wapiga kura waitumiao njia hii wanaiomba Serikali hii ya awamu a nne ilifanyie ufumbuzi suala hili kwani imekuwa kero kubwa sana kwaoo,kwani hii ni njia ambayo inawapitaji wengi wakiwemo wakazi wa mtaa huu na ule wa Vingunguti.
Hivyo tunaomba mamlaka husiku kuchukua hatua Haraka
Ahsante kaka.
kazi njema!

No comments: