Friday, April 25, 2008

Wabunge Wacharuka...


Godfrey Zambi (MB) akifanya majumuisho baada ya kuwasilisha hoja binafsi ya kusitishwa kwa mkataba wa miaka 15 iliyopewa kampuni ya TICTS kuhusu kitengo cha makonteni bandarini jijini Dar es Salaam bungeni mjini Dodoma hivi leo.

No comments: