Friday, April 25, 2008

dau la kumuona 50 cents ni fifte


dau la kumuona 50 cents na kundi lake la g unit hiyo mei 4 katika ukumbi wa diamond jubilee hall ni alfu 50,000/- kwa vip na 30,000/- kwa sehemu zingine kwa tiketi za kabla ya shoo. siku ya siku ni 40,000/- getini. bosi wa masoko wa tigo kelvin twissa katema cheche leo kusema tiketi ni chache na zikiisha ndio basi tena, utamsikia kwenye bomba. kwani mambo ya kubanana kasema ni noma. pia kuna tiketi kama 700 hivi ambazo wateja wa tigo wamepewa ofa kuzigombea kwa njia ya bahati nasibu

No comments: