Saturday, April 26, 2008

Bishanga Alipukiwa na Gesi..


Msanii mkongwe wa sanaa za maigizo ya ‘Luninga’ nchini, Raymond Allen ‘Bishanga,hivi karibuni alilipuliwa na gesi usiku wa manane akiwa amelala chumbani kwake na mkewe kipenzi kwa mengi zaidi Bofya Hapa.Picha na Richard Bukos.Kwa niaba ya wadau wa blog hii tunamtakia Mdau Bishanga Nafuu ya Haraka.

No comments: