Saturday, April 26, 2008

Sherehe Za Miaka 44 Ya Muungano ...



Amri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikweteakiwasili kwenye gari maalum la wazi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Kwenye sherehe za miaka 44 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutimiza zilizofanyika leo asubuhi jijini Dar es Salaam, Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi Ya Ulinzi na Usalama CDF Davis Mwamunyange.Picha ya juu akipungia umati wa watu Uwanjani Hapo

No comments: