Saturday, April 26, 2008

Umati..


Sehemu ya umati wa watu uliojitokeza leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dr es Salaam asubuhi kushuhudia sherehe za kumbukumbu ya Miaka 44 ya Muungano ukisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Mrisho Kikwete Picha na Issa Mnally GPL

No comments: