Friday, April 25, 2008

Chenge Bungeni....


Aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Andrew Chenge (katikati), Mbunge wa Mvomero (CCM) Suleiman Sadiq na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby,wakipitia nyaraka za hoja binafsi iliyohusu kitengo cha makontena cha Bandarini (TICTS )Dar es Salaam bungeni mjini Dodoma Leo hiii..

No comments: