Friday, April 25, 2008

Na hisa 35% TICTS- Karamagi..


Mbunge wa Bunkoba Vijijini Nazir Karamagi,akichangia hoja iliyowasilishwa kuhusu malalamiko dhidi ya kitengo cha makontena cha bandarini jijini Dar es Salaam (TICTS) leo bungeni mjini Dodoma. ambapo Nazir Karamagi alikiri bungeni kuwa ni kweli yeye ni Mwenyekiti wa TICTS na ana hisa 35 asilimia.

No comments: