Thursday, April 24, 2008

Wametoka Mbalii...


Picha hiii imepigwa mwaka 1988 ikimuonyesha Rais wa Sasa Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto)akiwa na Prof Mark Mwandosya kwenye ndege wakielekea songosongo,kipindi hicho Rais Jakaya kikwete alikua Naibu Waziri wa Maji Nishati na Madini na Prof Mark Mwandosya alikua Katibu Mkuu kwenye Wizara hiyo,kwa sasa Prof Mwandosya Ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji.Historia za picha kama hizi kwa msaada mkubwa wa Emmanuel Mwandosya..

No comments: