Thursday, April 17, 2008

Irene Kiwia...


Pichani ni mkurugenzi wa Beautiful Tanzanie Agency,Irene Kiwia akiwa katika mwonekano wake mwanana kabisa hivi karibuni kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam,Kampuni ya Beautiful Tanzania Agency ndio waanzilishi wakuu wa shindano la kumsaka mrembo wa Face of Tanzania ambapo kwa mwaka huu warembo wa tano bora katika shindano hilo wamepata nafasi ya kwenda nchini Afrika Kusini juzi kwa ajili ya kupata uzoefu mbalimbali katika fani hiyo ya ulimwende,ambao ni Edna Makanzo,Emmy Malau,Irene Shirima,Neshino Laizer na Yvone Joseph watashiriki katika fainali za kumchagua kimwana wa Face of Tanzania tarehe 26 Aprili katika ukumbi wa Ubungo Plaza.
For more info Contact:
Beautiful Tanzania Agency
Box 60109
Hugo House
Kinondoni A, 1st Floor, Room 30
Dar es salam
Tel: +255 222 6667354
Cell +255 732 925 251
Email: btmodelling@gmail.com

No comments: