Tuesday, June 10, 2008

Rais Kikwete ndani ya 10 Downing Street..


Rais Jakaya Kikwete(kulia) akikaribishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown kwenye Ofisi na Makazi ya waziri mkuu huyo wa uingereza number 10 Downing Street mji london na wa kwanza kulia kabisa ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Hon Mwanaidi Maajar.Rais kikwete yupo nchini uingereza kuhudhuria kikao maalum cha Reform of International Institutions ambacho pia kinaudhuriwa na Rais Bharrat Jagdeo (Guyana), Rais Maumoon Gayoom (Maldives),Waziri Mkuu Dr Navinchandra Ramgoolam (Mauritius), Rais Mahinda Rajapaksa (Sri Lanka),Waziri Mkuu Dr Feleti Sevele (Tonga),Waziri Mkuu Patrick Manning (Trinidad and Tobago),Rais Yoweri Museveni (Uganda) na Deputy Prime Minister Najib Tun Razak ambaye anamwakilisha Makamu wa Rais wa Malaysia,Vilevile Makamu wa Rais Alhaji Aliu Mahama ataiwaiisha Ghana kwenye Mkutano huo.

No comments: