Monday, June 9, 2008

Mbuzi wakiwa wamezagaa !!


Wiki mbili zilizopita nikiwa naaelekea mwanza kwa njia ya basi niliweza kuona mbuzi jinsi wanavyoacha karibu na barabara mambo kama haya yasipoangaliwa vizuri husababisha uharibifu wamali na mazirira ya sehemu husika kwa hiyo wanao husika waangalie upya ni jinsi gani wa kutunza mbuzi hawa !!

No comments: