Pichani ni Trafiki anaitwa Kimti ni askari machachari sana jijini Dar es Salaam, jamaa wa daladala wanadai akikunyaka huyu lazima ukome kuringa kwani mara nyingi amekua hana msalia mtume kwa wale madereva wanaopenda kuvunja sheria za barabarani mara kwa mara pichani akimfokea mmoja wa madereva daladala baada ya kukiuka sheria barabarani. Picha na Deus Mhagale.
No comments:
Post a Comment