Thursday, August 14, 2008


safari ya portsmouth








Watanzania waishio UK walipokwenda kutembelea Portsmouth siku ya Jumamosi tarehe 09/08/2008.
Safari hi ilijumuisha Watanzaniawaliotoka miji mbalimbali hapa UK pamoja na familia zao.
Safari hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaunganisha Watanzania pamoja nakubadilishana mawazo na kufurahi pamoja na familia zao.

Susan Mzee
Katibu wa CCM
Tawi la London

No comments: