Lipumba amvaa Mkapa...
na wafadhili wa nje na kulaumiwa na wapinzani.
--------
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba,amesema kitendo cha wafadhili wakubwa wa Tanzania kumsifia Rais Mstaafu,Benjamin Mkapa kwamba aliongoza mapambano dhidi ya rushwa,kinawaingiza katika lawama za kuongezeka kwa ufisadi nchini.
Profesa Lipumba,aliwaambia waandishi wa habari makao makuu ya CUF,jijini Dar es Salaam jana kuwa kupitia waraka wao wa programu ya pamoja kuhusiana na bajeti wa mwaka jana, wafadhili hao wamemsifia Mkapa kuwa aliongoza mapambano dhidi ya rushwa na alijenga misingi ya utawala bora Tanzania,kinyume cha ukweli wa mambo yalivyokuwa katika kipindi cha uongozi wake.Bofya na Endelea.....>>>>>
No comments:
Post a Comment