Sunday, August 31, 2008

ni kweli atatuletea shem ?



Layota mshiriki wa shindano la Big Brother Africa-III akiwa amepozi.Wengi wanaofuatilia shindano hilo kwa hapa bongo wanadai kuwa ati na sisi zamu yetu kuletewa Shemeji,!hii inatokana na kahistoria baada ya wale washiriki wetu waliopita kutuletea mawifi,inaelezwa kuwa Layota nae lazima awakilishe.Wadau kwa mtazamo tu ni kweli anaweza kutuletea shemeji kutoka ndani ya jumba hilo linalowachanganya wengi

KARUME AZINDUA KAMPENI YA CHANJO

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK AMANI ABEID KARUME AKIMPA MATONE YA VITAMIN A,MTOTO ZAINA KHATIB,AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI KAZIJA MOHAMMED WA UROA ALIPOZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO,ILIYOFANYIKA MWISHONI MWA WIKI KATIKA KIJIJI CHA UROA WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA


BAADHI YA WAZEE NA WATOTO WAO WA KIJIJI CHA UROA WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA WAKISUBIRI HUDUMA YA CHANJO YA VITAMIN A,AMBAYO HUSAIDIA WATOTO KUJIKINGA NA MARADHI YA SHURUA,AMBAYO KITAIFA ILIFANYIKA MWISHONI MWA WIKI.

PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR

KARUME ATOA SALAMU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI



RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ALHAJ DK AMANI ABEID KARUME,AKISOMA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA WANANCHI WA ZANZIBAR NA KUWATAKIA RAMADHANI NJEMA,HUKO IKULU LEO MJINI ZANZIBAR.
PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIABAR
Watoto Watatu Wafa Maji Jijini
Dar Es Salaam....
Na Maggid Mjengwa.
Alfajiri ya leo nilikutana na hali hii ya huzuni kubwa kwenye ufukwe wa Oysterbay. Pichani ni Mama wa Marehemu Mama Zainab Mzee( mwenye gauni la bluu)akiwa na majirani zake wa anakoishi Mwananyamala'B'.Kilichotokea;watoto watatu waitwao Mgeni(13)Edgar(15 )na Ibrahim( 16)walikwenda kuogelea baharini jana alasiri.
Hawakurudi nyumbani. Bahati nzuri mtoto mmoja aliweza kwenda kwa wazazi na kuripoti kuwa wenzake wamenasa baharini.Leo alfajiri ndipo miili ya Edgar na Mgeni ilipoonekana kando ya bahari.Mwalimu wa karate Abbas Bwaksi ndiye aliyenitangulia kufika eneo la tukio saa kumi na mbili asubuhi.Nilifika mahali hapo saa kumi na mbili na nusu.Kabla sijaingia kwenye mazoezi ya mchangani nilishangaa kumwona

Mwalimu Bwacksi akiwa amesimama katika hali ya huzuni.Mbele niliwaona akina mama wakiwa wamekaa mbele ya mwili wa marehemu Mgeni.Inauma sana moyoni kumwona mama mzazi akiwa amekaa kando ya mwili wa mtoto wake aliyelala akiwa amekufa.Hakika,hakukuwa na mazoezi tena bali shughuli ya kujipanga kwa ajili ya kumtafuta mtoto Ibrahim ambaye hadi naondoka mahali hapo saa mbili asubuhi alikuwa ameonekana alipo majini,lakini kutokana na mawimbi na kina cha maji,waokoaji wa kujitolea watano walikuwa katika hekaheka za kujaribu kuutoa mwili wa marehemu kutoka majini.Mtandao unanipa tabu kidogo,lakini nikipata nafasi nitajitahidi kutuma picha zaidi za tukio hilo mchana au jioni ya leo. Kwa niaba yenu nyote nawapa pole wafiwa.
Mdau agongana na Rais
Kikwete kwenye game la Kikapu
Washington DC...
Mdau Dotto Mallongo(Kushoto)wa washington,D.c alipata bahati ijumaa ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwenye game ya basketball ya wanawake(wnba)kati ya washington mystics(75) vs chicago sky(79).ambayo ilifanyikia kwenye uwanja wa verizon center Downtown Dc.muda mfupi baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza ziara yake nchini Marekani ya siku tatu chini ya Mwaliko wa Rais George Bush.
Mtuhumiwa wa ujambazi akamatwa
jijini Dar es Salaam akiwa amevaa
Baibui..

Na Festo Polea.
MTU mmoja ambaye anadaiwa kuwa jambazi maarufu amekamatwa jijini Dar es salaam likiwa amevaa vazi la Baibui ili asijulikane kiraisi akiwa amebeba shoka mgongoni kwa ajili ya kujihami.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam,Suleiman Kova,aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi alikamatwa juzi saa 1.30 usiku maeneo ya Kinyerezi Magengeni,jijini Dar es Salaam akiwa ajiandaa kufanya uhalifu.
Kova alisema mtuhumiwa huyo ni mkazi wa Kinyerezi Mwisho na kwamba alianza kufukuzwa baada ya jeshi la polisi kupokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuwa jambazi linalosakwa na polisi limeonekana katika eneo hilo likiwa limevaa baibui.Alidai kuwa mtuhumiwa huyo akiwa katika mawindo yake juzi bila kujua kuwa anafuatiliwa,alipoona polisi alianza kukimbia na wananchi wakaanza kumfukuza k na kufanikiwa kumkamata na kuanza kumpa mkong’oto na polisi walifika na kumuokoa.
Kamanda Kova alifafanua kuwa wakati mtuhumiwa anakamatwa alikuwa amevaa baibui na kwamba isingekuwa rahisi kutambua kuwa ni mwanaume.“Jambazi hilo licha ya kuvaa baibui pia lilikuwa limeficha shoka mgongoni ambayo huitumia kufanikisha mipango yake,”alisema Kova.Aliongeza kuwa baada ya jambazi hilo kukamatwa ilibainika kuwa amewahi husika katika matukio mbalimbali ya unyang’anyi wa kutumia silaha jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani ya Morogoro na Pwani.
Katika hatua nyingine, wezi wanne ambao wanadaiwa kuiba magari,wamekamatwa jijini wakiwa katika harakati za kubadilisha namba za gari hayo mali.Kamanda Kova alisema watuhumiwa hao walikamatwa juzi saa 10.30 jioni kwenye baa ya Super Min Wailer,wilayani Temeke ambako waliiba gari hilo siku moja kabla ya kukamatwa.
Rais Jakaya Kikwete amaliza ziara
Nchini Marekani..

Rais Jakaya Kikwete akipokea maua toka kwa mtoto Ninai Joseph Sokoine.
Mama Salma Kikwete akipokea maua toka kwa Mtoto Kelvin Masanja.
Rais Jakaya Kikwete,jana amehitimisha ziara yake ya kikazi hapa nchini kwa kufanya maongezi na baadhi ya mabalozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali na pia kushiriki chakula cha jioni na mabalozi hao pamoja na wawakilishi wa Chama cha wanajamii ya waTanzania waishio Washington DC na vitongoji vyake.Chakula hicho kiliandaliwa na ubalozi na kusanyiko hilo kufanyika kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania hapa nchini Mheshimiwa Ombeni Sefue yaliyoko huko Maryland.
Tumevuna Tulichopanda...
Mkimbiaji wa Tanzania Samweli Mwera akikimbiza Upepo mjini Beijing nchini China wakati wa Olimpiki hivi karibuni.Pamoja na viongozi wa chama cha Olimpiki TOC na AT kuvutana hapa nyumbani na baadae TOC kung'ang'ania wavae Puma badala ya Li-Ning tulitoka patupu. Sasa tuwekeze kwenye mbio fupi nadhani hatuwawezi wakenya na Waethiopia.
Rais Kikwete atinga White
House.

Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa rasmi na Rais George Bush kwenye ofisi Maalum ya Rais wa Marekani Oval Office alipomtembela Rais Bush juzi Washington DC.
Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Rais George Bush wa Marekani mandhari ya ikulu ya Marekani,White House,wakati Rais Kikwete alipomtembelea Rais Bush Ijumaa asubuhi jijini Washington D.C.Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa mwaliko wa Rais Bush.Picha na Freddy Maro/Ikulu
Salma Kikwete na Laura
Bush


Mke wa Rais Salma Kikwete(kushoto)akibadilishana mawazo na Mke wa Rais wa Marekani Laura Bush kwenye ikulu ya nchini hiyo The White House alipomtembela Laura juzi.Rais Kikwete na Mkewe wapo nchini Marekani kwa Mwaliko Rasmi wa Rais George Bush.

Chanjo ya Polio....
Wadau Chanjo ya polio imeanza kutolewa jana nchini kote kwa watoto wote kuanzia umri wa kuzaliwa hadi miaka mitano,peleka mwanao akapate chanjo Leo.Picha na Mdau Bernard Rwebangira/TSN

Saturday, August 30, 2008

" Ngoja Nisevu Namba Yako!"
Daniel Semberya ( kushoto) ni senior reporter ( Business Times) na Mwajabu Swalehe wa redio Passion FM. Hao ni wengine 15 walikuwa ni miongoni mwa washiriki wa warsha ya siku tano juu ya masuala ya mtandao na habari yaliyoandaliwa na Misa- Tanzania na kwa msaada wa taasisi ya Vikes kutoka Finland. Warsha hiyo ilimalizika jana.

Friday, August 29, 2008

Kipanya na Busara zake....

konda shujaa apongezwa

Pichani ni Kondakta wa Basi linalofanya safari zake jijini Dar es Salaam akiongoza magari baada ya foleni kubwa ya kwenye makutano ya barabara ya Lumumba na Uhuru.


Kujitolea kwa kondakta huyo kati ya Makondakta wote waliokuwapo hapo, ni moja ya kazi ya kila raia wa nchi kujitolea wakati jambo au mambo yoyote yanayojitokeza aidha kwa bahati mbaya, bila ya makusudio au kwa makusudio.


Kujitolea kusawazisha ya wenzako au kusawazisha kwenye kila jambo linaloelekea pabaya ni haki ya kila raia kumshauri raia mwenzako ili ndugu au jamii au kijiji au nchi isielekee pabaya.


Kwa nchi kama Uingereza wanaita "Duty of Care".


Je, huyu ni wewe?Kwa yeyote anayemjua kijana huyo (pichani) atume namba yake ya simu,



tuna zawadi ndogo tu ya kumpa ndugu yetu huyo mwenye mfano mzuri, ahsante.Na aliyepiga picha hii wa gazeti la This Day, tunampa ahsante.
Na Kaka Issa Michuzi (Happy Birthday on the 28th August 2008).
Zenjydar Community Association inawatakia Watanzania wote duniani, RAMADHAN KAREEM.
Mhariri,
Zenjydar Community Association


DAR INATISHA

Jamani hapa ni Ubungo bus stand nadhani wengi tunajua vituo kama Posta Mpya na Stesheni enzi hizo lakini Ubungo sasa ni kiwango cha juu. Hata magari yamekaa kwa mpangilio.
Katika kuboresha miundombinu na mazingira unaweza kujionea mwenyewe barabara ya Sam Nujoma inavuoonekana kwa juu ikiw ana miti ya kutosha na majengo yakijichomoza kwa chaati.
Hii ndio njia ya kuingia jijini Kutoka mikoani maeneo ya Ubungo, mabadiliko yako kwa kiasi fulani naogopa kubonda kuna vijimaendeleo kiasi wadau mnasemaje?

Mke wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere akionyesha mbog aalizolima katika bustani yake Msasani jijini Dar es Salaam kwa meja Mbuge wa Jeshi la Kujenga Taifa jana walipomtembelea kufanya usafi katika nyumba yake ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 44 ya Jeshi la Ulinzi wa wananchi la Tanzania.


Kumebadilika: Veta Mikumi

Kuna huduma nzuri za vyakula na malazi kwa bei nafuu.
Barack Obama Funika
Bovu....
WadauSenatorBarack Obama wa Illionois,kutoka chama cha Democrats nchini Marekani aliteuliwa rasmi juzi kuw amgombea wa kiti cha uraisi nchini Marekani ambapo usiku wa kuamkia leo alikubali rasmi uteuzi huo mbele ya umati wa watu zaidi ya elfu 85,000 mpaka 90,000 na kuweka ameweka historia maana yeye ni mtu mweusi wa kwanza kuteuliwa na chama kikubwa nchini Marekani kuwa mgombea Rais.Unaweza kujiunga na Kampeni yake kupitia Tovuti yao Rasmi kwa kubofya Hapa,kwa mengi zaidi juu ya shujaa wetu huyu bofya Hapa na Hapa
Kitabu Cha Maombelezo..
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitia saini kitambu cha maombolezo kwenye ubalozi wa Zambia nchi Tanzania kufwatia kifo cha Rais wa nchi hiyo Levy Mwanawasa aliyefariki hivi karibuni nchini Ufaransa na kutarajiwa kuzikwa 3rd of September.Kulia kwake ni Mke wake Mama Anna Mkapa.
Kingunge Ngombale
Mwiru...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(Kulia)akimsikiliza kwa makini mbunge wa Kuteuliwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru,bungeni mjini Dodoma jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Kampuni ya Zain yatoa Msaada wa
Vitabu kwa shule 19 Nchini..
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela,Bw.Samwel Kamote akibonyeza kompyuta wakati wa bahati nasibu ya kampuni ya simu za mkononi ya Zain kuchagua na kutangaza majina ya shule 19 kutoka mikoa mbalimbali Tanzania zitakazopokea vitabu vinavyotolewa katika programu ya Zain ya Build Our Nation (BON) jijini Mwanza, juzi.
Kipanya na Busara zake...
Tunaomba msaada wa kumtafuta huyu
"Mzee Utamu'

---------
Ndugu
MICHUZI,JIACHIE,TZUK,MJENGWA,KADIDI NA HAKINGOWI

watanzania wote wa kila pande za dunia wanakufuraia kwa kuanzisha mtandao wenye habari motomoto za kote duniani na tukiangalia namba ya watanzania wanaoingia katika blog yako ambao karibu wanafika millioni 5 hiyo inaonyesha ni jinsi gani ya kazi nzuri unayo ifanya. tunakushukuru saana.

Tatizo kuna mtu tumeanza kumtafuta na tunaomba wananchi na watanzania wema,wastaarabu wajitokeze na kutuambia huyu mwenye blog ya utamu ni nani ? na anaishi mji gani? ili hatua za kisheria zichukuliwe zidi yake haraka iwezekanavyo. huyu jamaa yuko hatarini kuwatia matatizoni nyie wote wenye blog zenye mambo mazuri kama mfano hakingowi,kadidi, jiachie,tzuk na blog,mjengwa na nyingine nyingi tu.huyu jamaa amekua anaweka picha kwenye hata blog zenu halafu anaziweka kwake za watu bila idhini za wenyenazo na hana haki ya hizo picha ,amekua anahusika ubadilishaji wa picha za watu na kuwaonyesha wakiwa watupu,huyu jamaaa,amekua anawacha watu watukanwe na kwa vitendo kama hivyo polisi wanaommba msaada wa wananchi waishio tanzania kumuweka hadharani ili achukuliwe hatua endapo hata toa picha za watu wote kwenye blog hiyo ya kipuuzi.

Kwa upande wa watanzania waishio Marekani na U.k nao wanaendelea na uchunguzi wao maana watanzania waishio hizo pande mibli za dunia ndio wamekua saana wanawekwa kwenye hiyo blog kwa ajili tu ya kukashifu watu wasio hata wafahamu.tunaomba msaada wako tumtoe huyu mtanzania asie kua na heshima kwa jamii ya kitanzania.kwa kuweka upuuzi wake tayari kuna ndoa zimevunjika na zingine zikiwa na migogoro mikubwa hivi sasa
tunaomba msaada wako na utuwekee tangazo hili
mwenye taarifa yeyote kuhusina na swala hili wasiliana nasi Tanzania.dodoma300@gmail.com
Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem
akabidhiwa gari Lake.
Miss Vodacom Tanzania 2008 Nasreem Kalim akiwa ndani ya gari yake mpya kabisa aliyokabidhiwa rasmi jana asubuhi jijini Dar es Salaam
Pichani shoto ni mratibu wa shindano la Miss tanzania kutoka kampuni ya LINO Hashim Lundega akiwa amemshikia maiki miss tanzania 2008 Nasreem Kalim akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi,Mkurugenzi wa masoko Vodacom Ephraim Mafuru pamoja Meneja udhamini wa Voda Emillian Rwejuna\
----
jana asubuhi kampuni ya simu ya mikononi iliyodhamini shindano la miss Tanzania 2008,Vodacom imekabidhi rasmi zawadi ya gari kwa mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem Kalim.

Gari hilo jipya aina ya Suzuki Garnd Vitara lenye thamani ya sh Millioni 42 limekabidhiwa kwa mrembo huyo na meneja na meneja udhamini wa Vodacom Tanzania,Emillian Rwejuna.Makabidhiano hayo yamefanyika leo asubuhi katika ofisi za Vodashop zilizopo mtaa wa samora jijini Dar na kushuhudiwa na maofisa wa Baraza la sanaaa,Kampuni ya LINO ambao ndio wanaadaaji wa shindano hilo,wadau wa sanaa na waandishi wa habari.

Akizungumza muda mfupi baada ya makabidhiano hayo,Rwejuna alisema Vodacom Tanzania,itaendelea kuboresha zawadi kila mwaka kwa washindi na washiriki,amesema kuwa ni matumaini ya Vodacom Tanzania kwamba zawadi hiyo ya gari ambayo amekabidhiwa itasaidia kurahisisha utendaji na shughuli mbalimbali za kijamii za mrembo huyo.

Rwejuna amesema kuwa sehemu wajibu wa Vodacom Miss Tanzania ni kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii,shughuli ambazo kwa kiwango kikubwa zina mlazimu kusafiri,hivyo ni muhimu sana kuhakikisha kwamba Vodacom Miss Tanzania anakuwa na usafiri wa kuaminika
Mramba,Makinda,Fatma na
Pinda Bungeni jana
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Rombo,Basil Mramba(kushoto), Mbunge wa Njombe Kusini na Naibu Spika wa Bunge,Anne Makinda(wapili kushoto )na Mbunge wa Viti Maalum,Fatma Mikidadi kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Jamani tuanzishe Soka la Kulipwa
-Balozi Biswalo
Balozi wa Tanzania nchini Brazil Dk Joram Biswalo(kushoto)akizungumza na waandishi wa habari wa magazeti ya Daily News na HabariLeo jana alipotembelea chumba cha habari cha magazeti hayo na kuzungumza nao ikiwa ni utaratibu maalumu wa magazeti hayo kuwaalika watu mashuhuri ambao waliwahi kuwa waandishi kuzungumza nao.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa TSN,Issac Mruma.Picha na Mroki
-----
Balozi wa Tanzania nchini Brazil,Dk.Joram Biswalo,ameishauri Tanzania kuanzisha soka la kulipwa ili kuvutia wawekezaji na kuuboresha mchezo huo.Biswalo aliiambia HabariLeo katika mazungumzo maalumu kuwa maendeleo ya soka nchini Brazil yanatokana na nchi hiyo kuwa na soka la kulipwa ambalo linavutia kampuni kuwekeza.Bofya na Endelea....>>>>>
Rais Kikwete atembelea Ofisi za
USAID na USTDA Nchini
Marekani..
Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na Mkuu wa kitengo cha elimu cha shirika la misaada ya kimataifa la marekani USAID Dr.Sarah Moten alipotembelea Ofisi hizo jana.katika mkutano wao Dr Moten alitangaza msaada mpya kusaidia ununuzi wa vitabu vya sayansi kwa shule za sekondari nchini wenye thamani ya dola milioni 1.5 za kimarekani,Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa mwalimo Maalum wa Rais George Bush.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernard Membe(Kulia)na Mkurugenzi wa wakala wa biashara na ushirikiano wa kimataifa wa marekani(USTDA)Mama Leocadia zak wakitia saini mkataba wa makubaliano ambapo wakala huo utaipatia Tanzania kiasi cha dola 600,000 za kimarekani kuisaidia sekta za umeme,mafuta na gesi nchini Tanzania.Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa Mwaliko Maalum wa Rais George Bush.Picha na Freddy Maro/Ikulu
Rais Karume akutana na
Will Smith..
RAIS KARUME AKIZUNGUMZA NA WILL SMITH IKULU YA ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME(KULIA),AKIPOKEA KITABU KINACHOZUNGUMZIA MAMBO MBALI MBALI YA MAREKANI,KUTOKA KWA MUIGIZAJI MAARUFU WILL SMITH HUKO IKULU MJINI ZANZIBAR JANA
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME(WAPILI KULIA)AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MUIGIZAJI MAARUFU NA MCHEZA SINEMA DUNIANI,KUTOKA NCHINI MAREKANI,WILL SMITH, MAMA SHADYA KARUME KUSHOTO NA MKEWE MUIGIZAJI HUYO JADA PINKEH SMITH KUSHOTO,MARA BAADA YA MAZUNGUMZO YAO IKULU MJINI ZANZIBAR JANA.PICHA ZOTE KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR
Bi Kidude alamba Tunzo ya
Kimataifa...

PRESS RELEASE: 30 AUGUST 2008
AS OLD AS MY TONGUE,THE MYTH & LIFE OF BI KIDUDE wins international award at Festival du Film Insulaire Each year since 2000,the French Island of Groix in Brittany has hosted the‘Festival du Film Insulaire’,a competitive documentary event showcasing films from islands around the world.

The Lucien Kimité prize is awarded each year to the “most human” documentary in competition. We are very proud to announce that our début feature documentary As Old As My Tongue won this year’s award. With members of the production team currently scattered far and wide from Japan to Zanzibar and Cumbria to Cork,we invited our Zanzibari translation expert,Said el Gheithy of the Centre for Africa Language Learning to attend the festival. An extract from his entertaining speech before the jury is on page 3.


As Old As My Tongue has now screened in more than 50 venues in 22 countries, winning 4 main awards and 4 further ‘best of the festival’ selections from juries and audiences. A full list of awards to date is on page 2. DVD to launch at end of October.ScreenStation [UK] is currently putting the finishing touches to a limited edition DVD of the film to be released in the UK on October 27th.

They are pleased to have been invited to the UK’s biggest African film festival in Edinburgh and also selected as part of the festival’s UK wide touring programme during November and December. Confirmed dates so farEdinburgh Film House:

October 28th ( plus Q&A and DVD launch partyGlasgow Film Theatre: October 29th plus Q&ANewcastle Star & Shadow Cinema: December 11th The UK release will be followed by a US and North America launch at the New York African Diaspora Film Festival in December.

European launch is set for Cannes in January and last but not least,we return to Zanzibar for an African version at Sauti za Busara music festival in February 2009.

Links to more information
www.asoldasmytongue.net
www.asoldasmytongue.net
has a trailer,
synopsis and pictures from the film
www.myspace.com/screenstation
www.myspace.com/screenstation
has up to date screening information and more
www.filminsulaire.com
www.filminsulaire.com
for pictures from the festival and more about the prize
www.africa-in-motion.org.uk
www.africa-in-motion.org.uk
the latest news from the UK’s biggest African film festival

www.busaramusic.org/festivals/2009

Busara Promotions, Sauti za Busara festival and more on music of East Africa
Full list of As Old As My Tongue Awards to dateWINNER:
‘Most Human’ Documentary Film FESTIVAL DU FILM INSULAIRE.

Ile de Groix, France, 2008 WINNER:
Best International Documentary Film ZUMA International Film Festival.
Abuja, Nigeria, 2008 WINNER:
Best Documentary Film IMAGES INTERNATIONAL FILM FESTIVAL.
Harare, Zimbabwe, 2007 WINNER:
Best International Documentary FilmWIFF (Womens International Film Festival) Miami, USA, 2007 JURY SPECIAL MENTIONVUES D’AFRIQUE PANAFRICAN FILM FESTIVAL. Montréal,Canada, 2008 Best of the Festival Selection AFRICALA FILM FESTIVAL.

Mexico City, Mexico, 2007 Best of the Festival SelectionPANAFRICAN FILM FESTIVAL DU CANNES. Cannes, France, 2007 Audience Award SelectionMOFFOM (Music on Film, Film on Music) Prague, Czech Republic, 2006 Extract from speech by Said el Gheithy @ Festival du Film Insulaire.

Ile de Groix, France on Saturday August 23rd 2009.I am delighted to be here to present this documentary, ‘As Old As My Tongue’, a celebration of the life and the musical career of the distinguished artist, Bi Fatma bint Baraka, popularly known as Bi.Kidude, and aptly described in the film as the ‘Treasure of Zanzibar’.

I am particularly pleased to be here to witness the acknowledgement of this ‘Grand Dame’ of African musical artistry. In 2007 the Centre for Africa Language Learning, which I established, and manage, in London, was asked by the producer, Andy Jones to undertake post-production work on the language features of the film.

I must say that the task of ‘perfecting’ the language of the venerable tongue of Zanzibar’s iconic cultural figure, Kidude, was quite challenging.I was only able to consider this task on the basis of the fact that my connection with Bi Kidude did not start with this film. She was one of the women who influenced my childhood memories, albeit indirectly, she was ever present in the neighbourhood in which my late grandmother resided in the suburbs of Zanzibar.


I can recall my grandmother’s recollections of Bi Kidude as a high spirited, vivacious and rebellious girl.The film tastefully documents Bi.Kidude’s life through the use of her personal testimony,commentaries by her promoters and mentors,as well as through local and international performances held in recent years. It reveals the personal qualities from which she draws the resources which have gone into creating her popularity,reputation,and,as a record producer in the film puts it, the writing of her own legacy.


She is a talented singer,with an extraordinary voice.That perhaps is an understatement. Though from a small island off the coast of East Africa, she has placed Zanzibar on the map of women singers of longevity,Ella Fitzgerald,Edith Piaf and Sarah Vaughan, amongst them,come to mind. She is one who is fiercely independent,committed to tradition and meaningful interaction with her adorers as well as members of the public, unpretentiously. An active member of her community, she uses her earnings from the performance work she does to support her people.

And who,in Zanzibar,is not her people?‘As Old As My Tongue’ is a welcome change from the usual documentaries on Africa.Mostly they tend to focus on problem areas such as war,famine and disease. These are,of course,vital issues requiring constant exposure and support,but must not be overplayed.More still needs to be done to promote positive images of Africa,which are also part of its everyday reality.


In spite of Zanzibar’s exotic appeal, the film portrays realistic images of the location, especially within the Stone town locality,which is a Unesco World Heritage City.History often records and pays tribute to the lives of ‘great men’,but not often ‘great women’.‘As Old As My Tongue’ conveys a powerful story whose main personality would otherwise be unseen or unheard. It is also a tribute to the diversity that is positively valued and characterises the islands of Zanzibar. I hope this event will signify a beginning of a relationship between Zanzibar and the Island of Groix.

O As we say, ‘Unguja ni njema atakaye na aje’, ‘Zanzibar is a great place, you are all welcome’. I trust that I have supplied just enough information to whet your appetites for this production. May you enter the spirit of Kidude’s evocative Tarab and let it draw you in to the very soul of Zanzibar. Karibuni. Welcome to you all.
[ends]
For more information,contact
busara@zanlink.com
(East Africa) and info@screenstation.net
(rest of the world)

More fire:
6th Sauti za Busara music festival,
Stone Town,Zanzibar,
12 - 17 February 2009 -
www.busaramusic.org

Thursday, August 28, 2008

The phone bill was exceptionally high and

the man of the house called a family meeting...

On a Saturday morning...

after breakfast...



Dad:
People this is unacceptable.
You have to limit the use of the phone.
I do not use this phone, I use the one at the office.


Mum:
Same here,
I hardly use this home telephone as I use my work telephone.


Son:
Me too,
I never use the home phone.
I always use my company mobile.


Maid:
So - what is the problem?
We all use our work telephones !!!!!

Wednesday, August 27, 2008

Kp na Busara zake !!!!!!!!

vipuri feki vyateketezwa


Vipuri feki vya magari vyenye thamani ya Milioni 50 toka nchini China vimeteketezwa hivi karibuni jijini Dar na tume ya ushindani au FCC katika kupambana na uingizaji wa vitu feki hapa nchini. Kweli bongo tambarare

Nmb yanusurika kuwaka moto


Benki ya NMB ya hapa jijini Dar iliopo mkabala na jengo la Mafuta house mtaa wa samora leo mchana limenusurika kuwaka moto,lakin kwa bahati nzuri magari ya zimamoto kutoka kampuni ya nanihii ziliwahi kutia timu sehemu ya tukio mapema