Thursday, April 3, 2008

UOPOAJI MERERANI


Maiti ikitolewa shimoni jana mchana zilitoka tano bado 20 kwenye shimo hili! Maji ni mengi n amchanga umefunika wengine Mungu saidia watatoka. Ni shimo la Germstone resources Limited.

Kwenda chini ilikuwa lazima Nyoka na wanaapolo wavae vizuia haufu lakini wengine waliingia hivyohivyo.

Polisi wakilinda kuimarisha ulinzi katika moja ya migodi watu walikuwa wengiwakitaka kusaidia na wengin kupata riziki si mnajua watoto wa mjini! Walidhbitiwa na vijana wa kamanda Tossi.

No comments: