Kamanda wa Kikosi cha Reli, Yesaya Msigwa(kulia)akikagua baadhi ya mataruma ya reli na nati zilizokamatwa ndani ya kiwanda cha kuyeyusha vyuma cha A.M. Steel & Iron Mills Limited, kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam.Wa kwanza kushoto ni Mhandisi wa Kampuni inayoshughulikia mali za Reli (RAHCO), Bw Maizo Mgedzi,Mkuu wa Upelelezi Kikosi cha Reli Adolfina Kapufi na Mhandisi wa RAHCO Kanda ya Dar es Salaam,Faustin Kataraia. (Picha na Shabani Msangi wa Polisi).
No comments:
Post a Comment