*Chenge, kisha Mkapa.
KUTUHUMIWA kwa ufisadi na hatimaye kujiuzulu kwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, kumefungua njia ya umma kuhoji uadilifu wa viongozi wa siasa akiwamo Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.Raia Mwema imeambiwa kwamba ukweli kwamba Chenge ndiye aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wote wa Serikali ya Mkapa, unatosha kuhoji uadilifu wa rais huyo mstaafu kwa kuwa Chenge ndiye aliyekuwa mshauri wake mkuu katika masuala ya Serikali.
“Sasa tunapitia upya mikataba ya madini, lakini mikataba ya aina hiyo na mingine, kama wa IPTL na TANESCO, ilipitishwa wakati wa Mkapa na Chenge.
mengi zaidi juu ya toleo la raia mwema wiki hii na Makala mbalimbali zilizokwenda shule zikiwemo,Rai ya Ulimwengu,Evarist Chahali,Maggid Mjengwa,Ayub Rioba na Padri Privatus Karugendo na nyingine nyingi liperuzi gazeti hili matata
No comments:
Post a Comment