Friday, April 18, 2008

Bongo Tambararee..?


Huwezi amini,lakini ukweli ni kwamba hii ni nyumba ambayo anaishi kikongwe mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja iliyopo maeneo ya Tandale jijini Dar es Salaam. Nyumba hii imezingirwa na maji eneo lote la nje kama inavyoonekana katika picha kutokana na Mvua zinazonyesha jiji Dar es Salaam

No comments: