
naomba kuwajulisha kile kisomo Cha marehemu Ndugu yetu Mwajuma Ibrahim Seif kitafanyika Jumapili ya tarehe 27/04/08 hapa Reading na address ni "The Warehouse, 1 cumberland Rd, Reading, RG1 3LB, Cemetery Juncion near Mr. Cod off Kings Rd, kufika kwako ndio ukamilifu wa shughuli yetu.
Assalam Aleykum
No comments:
Post a Comment