Thursday, April 3, 2008

APONEA CHUPUCHUPU



Kijana Mbaraka Omary Shamshasu (28) ambaye aliponea chupuchupu alipokumbwa na maji mgodini Mererani, mkoani Manyara alipokuwa na wenzake 25 ambao wote walikufa! Picha ya chini ni jinsi mgongo ulivyokwaruzika wakati akijiokoa. Habari kamili kwenye Mwananchi ya leo.

No comments: