Thursday, April 3, 2008
MAMBO YA MERERANI
Wanaapolo wakiwa wamejipumzisha baada ya kazi ngumu huku wakisubiri majibu ya ndugu zao waliofariki dunia mgodini.
Hapa ndio sehemu ya machimbo ya Merelani Block B ambako watu karibu wote waliuawa.
Jamani hata kama ni washikaji lakini serikali imeshindwa kuleta gloves hawa wavae kuopoa maiti, maiti zenyewe ziko kwenye maji halafu hiyo harufu, imagine hawa wameingia kavukavu!
Hawa jamaa wana apolo kiboko siwafafanui lakini soma meseji zao ubaoni!
Ndugu wa marehemu wakishindwa kuhimili harufu ya miili inayoopolewa sidhani kama hili zoezi litafika siku mbili!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment