Thursday, April 3, 2008

Mererani !!


Mwanaapolo akivaa gloves kwenda kuokoa miili ya wenzake waliofunikwa katika moja ya mashimo huko Mererani.

Wachimbaji(wanaapolo) wakiopoa mwili wa mmoja wa wachimbaji mwenzao, jamani hata gloves hawana harufu ni kali imenikumbusha nilipoenda kupigapicha za maiti wa ajali ya treni Dodoma.Kamati ya maafa iko huko!

Wanaapolo wakiingiua mgodini kuokoa wenzao waliofukiwa na kifusi baada yamaji kujaaa, jamani inatisha najilaumu kwanini nimerudi Mererani tena.

No comments: