Thursday, April 3, 2008
Ally SeLLa Aja na lebo mbili mpya kwa mpigo (SELLA)
Ally sella mwenyewe akionyesha jinsi gani nguo zinavyo mtoa yoyote atakae vaa pamba za lebo yake !
Ally sella akiwa anashine na pamba za lebo yake mwenyewe !
Ally sela anauliza hapo vipi sio mnashangaa !!
Kizuru zaid Sella anapamba hadi za wadada mchekini huyo dada mnasemaje wazalendo jamani mimi nampa big up.
allysella a.k.a SELLA...
Sababu ya kuamua kutoa Lebo mbili ni kwa ajili ya Utambulisho wa nyimbo yake mpya inayo kwenda kwa jina la JIACHIE KISELLA,JIACHIE KISELLA ni track yenye mahadhi ya HIP HOP iliyo tengenezwa chini ya mtayarishaji mahiri DJ DON wa USA,LICHA YA UJIO WA NYIMBO HIYO MPYA kwa sasa SELLA anatamba na video yake ya BABY GAL ambayo inaoneshwa katika vituo mabli mbali vya TV hapa BONGO na nchi jiarani.kwa sasa flana za sella pia zina patikana street..PAMOX
SELLA
allysella@gmail.com
allysella@hotmail.com
my no:+255712055703
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
"Check Watu huku kule wanaruka...
Wamepandisha mizukaaaa..........
Check ma DJ,huku kule wanarukaa.....
Wamepandisha Mizukaaaa.............
Aoooo....aoooo...,wamepandisha Mizuka................"
Nadhani umenipata....,kaka Yako hapa
Post a Comment