Thursday, April 3, 2008

Mazinde Juu !!




Jamani hii nimeichukua kutokana na ndugu yangu Kisu ambaye dada yake alisoma hapo naalishawahi kufika sio mbaya nae akakumbuaka enzi zile za kumtembelea sister wake kwa hisani ya blog ya kaka Michuzi sio mbaya kumtaja.

No comments: