Habari zenu wote mnaokatiza hapa kwa habari,
Naomba kuwakilisha picha za shule maalumu ya kijeshi (wakati huo) ya sekondari ya Tabora wavulana.Mimi nilisoma pale mwaka 1997-1999. (Alienitumia)
Picha hizi nadhani zitawakumbusha wadau wengi mambo ya A and B coy, unyuka, afande Majambo, dada zetu wa warsaw,redo, kuengua, nguchiro, nguna, bweni la A-level la SINA aka 'Sleeping Is Not Allowed', Mwl. Mkumba, Mwl. Mwombeki.....
Asante.
Ex-Boyzia
No comments:
Post a Comment