Wednesday, June 2, 2010

Kero ya leo kuhusu hawa wajomba !!!
http://www.lusakatimes.com/wp-content/uploads/2009/11/Give-us-a-bribe...Traffic-police-officers-confront-a-public-service-bus-driver-at-Longacres-in-Lusaka.jpg
jamani hawa wajomba wanafanya sana kazi na pia nawakubali kichizi . Ila kero yangu kubwa kuhusu hawa jamaa zetu ni kuhusu kuna muda wanasusa ati !!
hii inatokea pale mtu mmoja anapofanya kosa na jamaa huukumu wote kwa kuwaweka watu kwa foleni muda mrefu jamani badilikeni na mkumbuke hizo kazi pia mnaweza badilishwa kwa hiyo itakuwa ishu kuja kuishi na watu huku mitaani.
ni ushauri tu mnaweza acha pia !!

No comments: