Wednesday, June 9, 2010

Ajali...!Ajali !!
Hivi zitaisha lini !!

siku za hivi karibuni maeneo ya , Mwananyamala.


Baada ya muda mfupi... wazee wa kusomba wakawasili ila hawa leo ninao wanafanya kazi ila hawako makini mara nyingi hawa huaribu gari zaidi ka kutoa gharama kubwa. Au kufa ndio kufana , mnatakiwa kujua pia malipo ni hapa duniani fanyeni kazi kwa haki, kuna jamaa yangu mmoja alipata ajali akakataa kuvutwa na hawa jamaa akisema wakivuta gari yako hukuti vitu muhimu katika gari zaidi sana wanakupa maumivu zaidi. Jamani jirekebisheni na pia sio wote ila asilimia kubwa ya watu wa break down sio waungwana.

No comments: