Monday, June 21, 2010

safari za treni ya kwenda bara zaanza leo


Baadhi ya wasindikizaji wakiwapungia mikono wa kwaheri abiria waliokuwa wakisafiri na treni ya kwenda bara katika stesheni ya Dar leo' Treni hii ilisitisha huduma za usafiri zaidi ya miezi sita kutokana na mafuriko yaliyotokea katika mikoa ya Dodoma na Morogoro.
(Picha: Francis Dande).

No comments: