Monday, June 14, 2010

Ajaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..!




Basi la Spider T 964 BHS aina ya Nissan likiwa limeacha njia na limepinduka katika eneo la Mikese Miembeni barabara kuu mkoani Morogoro wakati likitokea nchini Burundi na kuelekea Jijini Dar es Salaam na kujeruhi watu watatu.

No comments: