Wednesday, June 30, 2010

Ajali Ya Ndege Yauwa Wawili Tanga.



Sehemu ya ndege iliyopata ajali baada ya kutua barabarani kwa dharura na kugonga basi la watalii ambalo linaonekana juu kushoto likiwa limeanguka. Ajali hiyo ilitokea jana katika barabara ya Segera Tanga ambapo Marubani wote wawili waliokuwapo kwenye ndege hiyo walipoteza maisha.

No comments: