Wednesday, June 9, 2010

Mabasi Ya Wanafunzi.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo, Dar es Salaam wakipanda kwenye moja ya mabasi mapya ya wanafunzi mara baada ya Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda kuzindua huduma ya usafiri wa mabasi matano kwa wanafunzi wa Dar es Salaam yaliyotolewa na Benki ya CRDB jijini .(majira) du hongereni sana Crdb kwa hilo ila tuyatumie vizuri ili watu zaidi wajitolee kuondoa tatizo hili.

No comments: