Wednesday, June 16, 2010

Ajali nyingine magomeni mikumi Jana
Gari zikiwa zimepandana mara baada ya lori la mchanga kufeli breki na kugonga gari lililokuwa mbele yake na kupelekea gari hilo kugonga la mbele yake na kuendelea.ajali hii imetokea jana majira ya saa nane mchana maeneo ya magomeni mikumi.hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii.wananchi waliofika katika ajali hiyo wakiangalia jinsi magari yalivyoharibika vibaya mara baada ya kutokea kwa mzinga huo.lori lililosababisha ajali ya magari yapatayo 6 likifanyiwa matengenezo mara baada kuzimika katika mzinga huo.

No comments: