Wednesday, June 9, 2010

Masha azungumza kuhusu stika za Moto !!

Leo waziri masha aliweza kuulizwa swali na mtangazaji wa clouds kuhusu usumbufu unaojitokeza wa sasa kuhusiana na swala zima la stika za moto. Swala hili sio tu mpaka uwe na gari uone lina kuhusu hapana maana kuna wakati hata madereva huwa awacheki vyombo hivi na hapo ndipo wanapoyumbishwa na mapolisi wa barabarani. kikubwa ambacho amesema muheshimiwa ni kuwa stika ya moto isiwe chanzo cha usumbufu barabarani ila watalitafutia ufumbuzi jinsi ya kuliboresha zaidi na pia polisi hatokusumbua kwa kutokuwa na stika hiyo zaidi sana uwe na matatizo mengine. Sasa watumiaji wenzangu wa vyombo hivi muwe makini katika hili maana mtasumbuliwa kwa kosa hili la kutokuwa na stika.

No comments: