Wednesday, June 9, 2010

TBC YAZINDUA MATANGAZO YA KOMBE LA DUNIA .

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa TBC Tido Muhando akizungumza na mashabiki na wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa matangazo ya kombe la Dunia kwa kituo hicho ambacho ndiyo pekee kitakuwa kikirusha matangazo hayo moja kwa moja kutoka nchini Afrika Kusini.(fullshangwe)
ila kuna mdau anataka kujua kwa sie tunaoiona TbC one hatutoweza kuona au nasi tutaona !! tunaomba mtu anayejua atujulishe .

No comments: