Monday, June 14, 2010



Mbunge MO akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyefika katika mkutano huo.

Mbunge MO akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyefika katika mkutano huo na mbunge wake.

Hapa ni MO akialimiana na mlemavu wa ngozi,Albino.

Mwalimu wa shule ya msingi Minga Fatuma Abubakari ambaye ni mlemavu wa miguu akiteta jambo na Mbunge wake Mh.Mohammed Dewji “MO” alionyesha upendo na kukaa kitako na kumsikiliza mama huyo matatizo yake.
safi sana Mo endelea na moyo huo huo ila isije kuwa usanii maana wakati huu ndio wakati wa kuwa jirani sana na wananchi maana wao ndio waajiri wako katika kura kama mjuavyo uchaguzi uko jirani kutoka sasa .

No comments: