Wednesday, June 16, 2010

Dogo aliyetia fora gemu la stars na brazil atembelea clouds FM

Huyu dogo jana alikuwa Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast akiongea na Gerald Hando na wenzie baada ya video hii kupata watazamaji wengi duniani ambao walimpenda kwa vituko alivyoonesha akiwa na wachezaji nyota wa Brazil pamoja na JK neshno

No comments: