Monday, June 14, 2010




Hatimae upande wa Jamhuri katika kesi ya kuomba rushwa ya Sh milioni 10 inayomkabili aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro na wafanyabiashara wawili kusikilizwa baada ya uchunguzi kukamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.

No comments: