Wednesday, June 16, 2010

sera ya kilimo kwanza yapokelewa vyema ngorongoro
Viongozi na wakaazi wa wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha wakiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Loliondo kuelimisha jamii juu ya sera ya kilimo kwanza.
Mkutano ukiendelea na wananchi wanaonesha usikivu na uelewa mkubwa kiasi haikuwa ajabu kuwaona wameanza kutekeleza sera hiyo kwa vitendo.
Vijana wa Ngorongoro wakitekeleza kwa vitendo sera ya Kilimo kwanza
Kilimo kwanza Lolindo. Picha zote na Woinde Shizza


No comments: