
Jumuiya Ya Watanzania Uingereza inasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya wa Kitanzania Bi. Mwajuma Ibrahim Seif , kilichotokea jana katika hospitali ya Royal Berkshire Hospital, Reading, Kifo cha Bi. Mwajuma kimesababishwa na ugonjwa wa Meningitis.
Bi. Mwajuma alizaliwa tarehe 11 Machi 1977 Dar-Es-Salaam, alikuwa akisoma katika chuo cha Lead Academy London ambapo alikuwa akisomea safunzo ya Biashara.
Ili kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi, Watanzania na marafiki wa Tanzania wanaombwa kutoa mchango wa hali na mali ili kufanikisha kusafirisha mwili wa Marehemu. Kuchanga kwako ndipo kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu.
Msiba upo Reading anuani : 12 Trevor House, Colliers Way, Tilehurst, Reading
Unaweza kutoa mchango wako kwa kuweka fedha katika akaunti:
Nationwide Bank
Mrs. H S Salum
Sort Code: 07-44-56
Account: 03020879
Pia unaweza kuwasiliana na Diego: 07733318081
Pia simu : #07733318081
1 comment:
Hi there I am so excited I found your blog page, I really found you by
mistake, while I was browsing on Yahoo for something
else, Nonetheless I am here now and would just
like to say thanks for a incredible post and a all round exciting blog (I also love the
theme/design), I don’t have time to read through it all at the moment but I have saved it and also added your RSS feeds, so
when I have time I will be back to read much more, Please do keep up the awesome work.
my webpage > mackeeper free
Post a Comment