Friday, April 4, 2008

mwanaume mja mzito....


jamaa alipokuwa mama (juu) na alipopata ujauzito

mdau wa http://drfaustine.blogspot.com/ katuletea hizi tuzidi kushangaa fer

mwanahabari maarufu oprah winfrey akicheki tumbo la mwanaume mwenye mimba kwenye shoo yake iliyorushwa usiku huu, kwa mujibu wa gazeti la telegraph la uingereza. picha ya kulia ni jamaa akicheki mimba yake kwenye skana....

2 comments:

Anonymous said...

Jamani hii noma sijui ndio mwisho wa Dunia huu ! hii imekaaje ?

Anonymous said...

hii imekaaje lakini mbona noma sana au ndio kumjaribu mungu vijana maana navyo sikia kuwa jamaa kapandishiwa mimba na huyu jmaa mzima kweli maana kaowa na mke !!