Soko Kuu La Tukuyu
Mbeya, Aprili 2007.
Hi Kadidi , salaam?
kazi yako imekaa sawa, kila siku napitia blog
yako...asante kwa habari na matukio...
Mwanzoni mwa mwaka huu nilienda mbeya, nikaenda kwa
maktaba yetu ikanisikitisha hali niliyoiona...hebu
angalia picha niliyokuletea...waoneshe na wadau
waliopitia pale.
Tino na wana pandaili wote !!
No comments:
Post a Comment