
Mtoto wa mitaani kama hapa bongo mnaita watoto wasio na mahali pakuishi aka ombaomba kwa kibaki wanawaita machokoraa akiwa amepewa pesa na msamaria mwema sasa kibaya zaidi hizo pesa hawezi kununua mikate zaidi ya miwili kweli wakoloni wakiamua noma e Mungu tusaidie yasitokee hapa ila maamuzi sahihi yanahitajika Zimbabwe ili kuinusuru hali ya nchi hiyo kusema ukweli au mnasemaje wadau
No comments:
Post a Comment