

Pata picha hiyo iliyotoka katika gazeti la wiki hii NewZimbabwe! Swali la kujiuliza "Je kiatu hicho kinashonwa ili iweje?" kivaliwe tena? Wakati sisi (TZ) note yetu kubwa kuliko zote ni yenye dhamani ya Tsh 10,000/=.
Wiki iliyopita Serikali ya Zimbabwe walitoa note mpya yenye dhamani ya Zim Dollar 50,000,000/= (yaani note yenye dhamani ya Milioni 50). Unaambiwa hiyo note ya Zim Dollar 50,000,000/- hununua mikate minne tu, imekwisha!! Zim Dollar 50,000,000 ni sawa na US $ 2 ama Tsh 2,500/-
NB (Zimbabwe huku hawahesabu noti, huwa wanazipima kwa kilo, maana ukisema uhesabu ni mpaka kesho na mate yataisha mdomoni, usisahau zile mashine za kuhesabia hazifanyi kazi kisa hakuna umeme!
Good day!
Mdau kutoka Durban, RSA
please jina na email kapuni!!
Zitto (Not Kabwe!)
No comments:
Post a Comment